Friday 26 May 2017

Bosi wa ACACIA Atoboa Siri, ya Mikataba ya Madini Waliosaini na Serikali ..Ni Baada ya Ripoti ya Mchanga Kutua kwa JPM.

Mnamo tarehe 12 mwezi Machi mwaka huu, Mwandishi Jon Yeomans wa gazeti la telegraph la nchini Uingereza alifanya mahojiano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya ACACIA, Brad Gordon.
Pamoja na mambo mengine, Mtendaji Mkuu huyo wa ACACIA alisema kwa kukiri kuwa mikataba/makubaliano kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na kuwa ya kisheria lakini hayakuwa ya usawa.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment